Jay Melody – 18

DOWNLOAD Jay Melody – 18 MP3

Renowned for exceptional talent, singer Jay Melody sets a new benchmark with latest release hit titled “18”.

About

Released: 2024

Album: Therapy

Artist: Jay Melody

This captivating masterpiece has garnered global acclaim, captivating music fans worldwide. Its infectious melody is a must-have in your music play list (afromusics.com.ng).

DOWNLOAD NOW

Jay Melody – 18 Mp4:

Jay Melody – 18 (With English) Lyrics:

I planned that I would like it when I reach 20 years old
Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20

Currently 18, I don’t know what happened to me
Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini

There is someone I like but I don’t trust myself
Kuna mtu nampenda lakini sijiamini

It’s not like I really know what love is
Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini

He takes me out of goals
Ananitoa kwenye malengo

I didn’t plan to fall in love
Sikupanga kuingia kwenye maupendo

He takes me out of goals
Ananitoa kwenye malengo

I’m always interested in his stuff
Vitu vyake navutiwa kila engo

Oh me
Oh mimi

Please my heart
Tafadhali moyo wangu

This will be gold
Haya mapenzi dhahabu

Please truly my heart
Tafadhali kweli moyo wangu

This is my love gold
Haya mapenzi yangu dhahabu

I still wonder if he has feelings
Bado najiuliza kama ana hisi

I have feelings
Nnavyo hisi

But I know that it is not easy
Ila najua kua hivyo sio rahisi

And I, the guest of love, should not come
Na mi mgeni wa mapenzi nisije

I called the police
Nikaitiwa police

I remembered I hated love
Nikaumbuka nikachukia mapenzi

Love oooh love oooh
Penzi oooh penzi oooh

Don’t screw me up mate
Usiniumbue mwenzio

I started crying
Nikaanza na kilio

It’s supposed to be the entrance
Eti ndo kiinglio

He takes me out of goals
Ananitoa kwenye malengo

I didn’t plan to fall in love
Sikupanga kuingia kwenye maupendo

He takes me out of goals
Ananitoa kwenye malengo

I’m always interested in his stuff
Vitu vyake navutiwa kila engo

Oh me
Oh mimi

Please (we tafa) my heart (we heart)
Tafadhali (we tafa) moyo wangu (we moyo)

Hey love gold (tafa we)
Haya mapenzi dhahabu (tafa we)

Please my heart (oh my heart)
Tafadhali kweli moyo wangu(oh moyo)

This is my love gold
Haya mapenzi yangu dhahabu

Ololoooo mmmh gold
Ololoooo mmmh dhahabu

Ooonhooo mmmh gold
Ooonhooo mmmh dhahabu

once again”
Once again”

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*